Waziri Mkuu Mstaafu, Mhe. Mizengo Pinda (Kulia) Akisalimiana Na Wafanyakazi Wa Benki Ya Maendeleo Ya Kilimo Tanzania Waliokuwa Wakitoa Huduma Wakati Wa Kongamano La Wadau La SUA Linaloendelea Mkoani Morogoro. Kushoto Ni Afisa Maendeleo Ya Biashara Mwandamizi, Bw. George Nyamrunda Na Afisa Mipango Na Sera Mkuu Wa Benki Hiyo, Bw. Mzee Kilele (Wapili Kushoto).

PINDA AZINDUA KONGAMANO LA WADAU WA SUA

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *